Somaliraiskaajille ohjeita

Kun laitat kikkelisi viattoman valkoihoisen naisen vaginaan niin muista käyttää edes kondomia. Tässä ohjeet myös swahiliksi:

http://photos1.blogger.com/blogger/2877/2015/400/Jinsi ya kutumia kondom.jpg

Mtumie rafiki barua pepe Chapisha
Kutumia kondom ya wanaume

Condom kwa Tayo
Jinsi ya kutumia kondom TAYO
Mimi mvulana, mimi ni mwanamme nieleze jinsi ya kutumia kondom ya wanaume?

* Hakikisha umeangalia mda wa matumizi wa kondom uliyonayo. Kama mda wake (expiry date) wa matumizi umekwisha basi haikufai. Fungua kipakiti chenye kondomu wakati tu ukiwa tayari kuitumia. Bila hivyo yale mafuta mafuta maalum kwenye kondomu yatakauka.
* Unapofungua pakiti kuwa mwangalifu usiipasue, au kuitoboa wala kuiharibu kondom yenyewe. Ikipasuka itupilie mbali na uchukue nyingine.
* Kondomu huwa zimesokotwa na kuwa kama duara. Kuivaa, ile sehemu ya mafuta mafuta inapaswa kuwa nje.
* Hivyo basi ivae kwa kuikunjua kuanzia kwenye ncha (kichwa)cha uume.
* Ishike sehemu ya chuchu ya kondomu kwa kutumia dole gumba na kidole chako cha kwanza ili kutoa hewa kutoka sehemu hiyo, ili manii yahifadhiwe mahali hapo pale yatakapotoka.
* Sasa Endelea kuishikilia kondom kwa mkono mmoja. Kwa kutumia mkono wa pili ikunjue hadi kufikia kwenye mavuzi yaani kwenye shina la uume. Kama mtumiaji hajatahiriwa anapaswa kuvuta lile govi la uume wake kabla ya kuvaa kondomu. Kama kondomu haina kilainishi cha kutosha, vilainishi au majimaji (kama vile silicone, glycerine, au K-Y jelly) vyaweza kuongezwa kwa nje. Tahadhari mafuta kama yale ya kupikia, ya kujipaka mwilini kama kama vile Vaseline hayafai kutumiwa kama kilainishi.
* Baada ya kufanya mapenzi kondomu inapaswa kuvuliwa kwa njia sahihi pia. Baada tu ya kufika kilele na kutoa manii, mwanaume anapaswa kuutoa uume wake kutoka ukeni, kabla haujalegea kabisa, kwani akichelewa huenda kondom ikatumbukia ukeni mwa mwanamke. Kisha ashikilie kondomu kutoka shinani mwa uume na kuivua taratibu pasi na manii kumwagika.
* Unaweza kuifunga kondom kwenye karatasi na kuitupa kwenye choo cha shimo
* Usitupe kondom kwenye hooni cha kupiga maji kwani huenda ikatatiza utendaji kazi wa choo hicho.
* Tumia kondom nyengine kwa kila tendo jengine la kujamiana. Tumia kondom kila wakati unapofanya mapenzi.
065
Äänestä

Muut lukivat myös

Vastaukset

Vanhimmat

Ei vielä vastauksia

Aloittaja odottaa vastauksia. Kerro oma näkemyksesi ensimmäisenä.

Kommentoi aloitusta

Valkea Suomalainen kirjoitti:

Anonyymi
5000

Ilmoita asiaton sisältö

  • Sisältää materiaalia, joka on loukkaavaa, herjaavaa, rasistista, uhkailevaa tai ahdistelevaa.

  • Materiaali sisältää nimiä, yhteystietoja tai muita henkilökohtaisia tietoja. Julkisuuden henkilöistä, julkisissa viroissa toimivista ihmisistä sekä yritysten vastuuhenkilöistä saa keskustella työhön liittyen. Myös yksityiselämään liittyvistä asioista voi keskustella siltä osin, kuin niistä on julkisesti kerrottu.

  • Sisältää lapsille haitallista tai heiltä kiellettyä materiaalia. Seksuaalinen sisältö on sallittua aiheeseen tarkoitetuilla palstoilla, joiden ikäraja on 18 vuotta.

  • Lainvastaista sisältöä voi olla mm. yksityiselämää loukkaavan tiedon levitys, kiihottaminen kansanryhmää vastaan, laiton uhkaaminen, alaikäisiin liittyvä seksuaalinen sisältö/grooming, petokset, identiteettivarkaudet, kunnianloukkaukset ja tekijänoikeusrikkomukset.

  • Sisältö ei liity palstan tai keskusteluketjun aiheeseen.

  • Viesti ei ole suomea tai ruotsia (pl. International Forums), se sisältää mainontaa, se sisältää tekijänoikeuksin suojattua materiaalia, se on massapostitus tai jokin muu syy.

Jaa keskustelu